MRADI WA UFUGAJI SUNGURA KIBIASHARA.

MRADI WA UFUGAJI SUNGURA KIBIASHARA.

Tunasaidia kwenye ujenzi wa vibanda bora vya sungura, kwagharama ya Tshs 65,000/= tu kwa kimoja cha ukubwa wa futi 2.53 , chenye uwezo wa kufugia Sungura mmoja mkubwa wakuzalisha pamoja na watoto wake kwa mwezi mmoja baada yakuzaliwa yaani kipindi chote cha unyonyeshwaji, na kibanda cha saizi hiyo pia kinaweza kufugia hadi sungura kumi wa umri wa miezi mitatu.

Read More  
UFUGAJI BORA WA SUNGURA

UFUGAJI BORA WA SUNGURA

Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na hassa kwenye usafi kwa sababu ni rahisi kwao kupata maradhi yatokanayo na mazingira mabaya na machafu

Read More  
YAFAHAMU MAGONJWA YA KUKU YANAYOSUMBUA

YAFAHAMU MAGONJWA YA KUKU YANAYOSUMBUA

Jifunze namna ya kutambua magonjwa mbalimbali ya kuku kwa kuwatazama u kwa kuangalia viashiria mbalimbali.

Read More  
Njia tofauti za kufuga kuku. Faida zake Na Hasara Zake

Njia tofauti za kufuga kuku. Faida zake Na Hasara Zake

Mambo yanayomfanya mfugaji kuamua atumie njia fulani ya kufuga ni pamoja na uwezo wa kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. Katika sehemu hii utajifunza njia tatu za kufuga kuku ambazo ni:

Read More  
NJIA BORA ZA UTUNZAJI WA MAYAI YA KUKU

NJIA BORA ZA UTUNZAJI WA MAYAI YA KUKU

Mfugaji anaweza kutambua mayai yaliyo na mbegu na yale yasiyo na mbegu siku ya saba baada ya kuanza kuatamia iwapo atapima mayai kwa kutumia box lililotengenezwa maalum pamoja na tochi yenye mwanga mkali ndani ya chumba chenye kiza. Hii itamuwezesha mfugaji ayatumie mayai yasiyo na mbegu kwa chakula cha familia au kuyauza.

Read More  
MWONGOZO WA KULEA VIFARANGA

MWONGOZO WA KULEA VIFARANGA

Kwa kawaida au katika hali halisi, kazi ya kulea vifaranga hufanywa kuku mwenyewe. Hivyo ili kulea vifaranga, mfugaji ni lazima aige kuku anavyofanya. Ikumbukwe kuwa vifaranga husumbuliwa zaidi na hali mbaya ya hewa, magonjwa mbalimbali, kukosa chakula kisichofaa na kukosa uangalizi wa karibu.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING